Kila la kheri kwenu machama yangu Argentina, Morocco, Spain na Algeria

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,554
Reaction score
9,247
Ingawa mimi ni shabiki mkongwe wa Albiceleste, na bado naimani kubwa sana na chama langu kubeba kombe hili (Back to Back)

Lakini kwa upande wa Afrika nipo na chama langu The Atlas na mabingwa wa Afrika CAF CHAMPIONS LEAGUE 🇲🇦 MOROCCO 💪🏽, niwatakieni kila la kheri katika mchezo wenu wa kwanza dhidi ya brazil N.k, The second team ni Algeria na Spain.

Timu ambazo nazitakia ziondolewe mapema katika mashindano haya ni pamoja na
MAREKANI
BRAZIL
PORTUGAL
UFARANSA
SOUTH AFRICA
JORDAN
SENEGAL

ARGENTINA 💪 🇦🇷
 
Hao Wafaransa na Wareno watatolewa na nani sasa ?...
 
Mimi ni
France
Morocco
Portugal
Norway
Brazil
Timu zote za asia

Hizi ni maadui wangu
Argentina
England
timu zote za kibantu
Spain
 
Back
Top Bottom