joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
"Any thing is possible in soccer" Burundi nusura itoke sare na Nigeria ......taifa tar 1 Senegal 0.......it can happenJapo watu wengi husema mpira ni dakika 90, au mpira unadunda, lakini kuilinganisha Taifa stars na Senegal, ni ngumu sana kukubaliana na Maneno hayo.
Bahati mbaya sana, mashindano ya mpira sio kama ngumi, ambapo hawawezi kushindanisha bondia wenye uzito tofauti, kitendo cha kushindanisha Senegal ambayo ipo nafasi ya 22 duniani, na Tanzania nafasi ya 131 na kutegemea matokeo tofauti, ni lazima mtu awe na moyo wa mwendawazimu.
Yote kwa yote " Ukikubali kuolewa, pia ukubali kula bila nguo". Kila la kheri Taifa stars, tupo nyuma yenu, lolote litakalotokea, tumeshajiandaa kisaikolojia.
Hahahahaha, wewe ni miongoni mwa wale wenye MOYO wa mwendawazimu, ila hongera kwa kututia nguvu."Any thing is possible in soccer" Burundi nusura itoke sare na Nigeria ......taifa tar 1 Senegal 0.......it can happen
Acha unafiki, tangu lini mkenya akaitakia mema Tanzania?Niki nyuma ya Taifa Stars. East Africa Hoyeeeeee afu Sadio Mane hayuko.
Mmmmh!Hahahahaha, wewe ni miongoni mwa wale wenye MOYO wa mwendawazimu, ila hongera kwa kututia nguvu.
Kama tuliweza kupiga Ug cranes 3 .....any thing is possibleHahahahaha, wewe ni miongoni mwa wale wenye MOYO wa mwendawazimu, ila hongera kwa kututia nguvu.
We are all going to face the same heat.Acha unafiki, tangu lini mkenya akaitakia mema Tanzania?
So far kwa kiwango kilichooneshwa na Burundi pamoja na Uganda.Kama tuliweza kupiga Ug cranes 3 .....any thing is possible
Acha unafiki, tangu lini mkenya akaitakia mema Tanzania?
I don't care what you believe or think. Niki nyuma ya Tz I'll ikifika ni mechi ya Taifa vs Harambee nitakuwa nyuma ya Harambee.Acha unafiki, tangu lini mkenya akaitakia mema Tanzania?
Ni Tanzania tu ndipo unapokuta raia wanafiki Kama wewe.hii timu ingekuwa ya Somalia pamoja na changamoto zote za kimaisha wanazopitia wangeungana kushangilia timu yao sio Kama hapa tz yaani watu ni wanafiki sijapata kuona!!!yaani wenzetu huko nje wanatushangaa Sana wanashindwa kuelewa sisi ni binadamu wa aina gani.Acha unafiki, tangu lini mkenya akaitakia mema Tanzania?
Usibishane na mtu ambaye ni dhahiri umemzidi kwa mbali uwezo wa kufikiria,just ignore him/herI don't care what you believe or think. Niki nyuma ya Tz I'll ikifika ni mechi ya Taifa vs Harambee nitakuwa nyuma ya Harambee.
Ningependa Kenya na Tz ziqualify round of 16
Itakuwa 11vs11 so hakuna mwenye uhakika wa kushinda Hadi mechi iishe ndo matokeo yatajulikana.Kwa kweli tuombe tu Mungu hawajama squad yao nimeiangalia kwa kweli wametuacha mbali sanaView attachment 1135587
Algeria na Kenya, hazijaachana sana katika viwango vya FIFA.We are all going to face the same heat.
Pale Algeria huku Senegal and vice versa patamu hapo
Ni Tanzania tu ndipo unapokuta raia wanafiki Kama wewe.hii timu ingekuwa ya Somalia pamoja na changamoto zote za kimaisha wanazopitia wangeungana kushangilia timu yao sio Kama hapa tz yaani watu ni wanafiki sijapata kuona!!!yaani wenzetu huko nje wanatushangaa Sana wanashindwa kuelewa sisi ni binadamu wa aina gani.