Kila la kheri Taifa stars "dhahifu", dhidi ya timu bora kabisa ya Senegal

Kila la kheri Taifa stars "dhahifu", dhidi ya timu bora kabisa ya Senegal

"Any thing is possible in soccer" Burundi nusura itoke sare na Nigeria ......taifa tar 1 Senegal 0.......it can happen
Yaaap, bado tuna kumbukumbu ya kombe la dunia Senegal alivyomfunga France 1-0.
Lolote linawezekana kwenye mpira, ingawa inahitajika roho ya kuamini haya.
 
Back
Top Bottom