''kila la kheri''.....??

''kila la kheri''.....??

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hello wakaka na wadada…

leo naweka assumption...prove me wrong

Ukiona umeweka tangazo lako la kutafuta mume au mke

wale wanaokujia na 'kila la kheri'

ni singletons..!!!

Either,wanataka uwa notice au umekosa vigezo kiduchu ambacho ungekomaa nae angeweza kushusha na mkakubaliana..lol

Embu semeni ,je una mtu ?? ushawahi kusema 'kila la kheri' humu?? kipi kilichokusukuma kujibu hivyo?je hauna mtu/[partner na ushawahi kujibu 'kila la kheri' kwenye thread ya mdada/mkaka ?? nini kilikusukuma?

Lengo ni kuboresha mahusiano,

Maana wengine wanalalamika wameleta matangazo yao humu love connect bila matokeo mazuri,sasa leo tunawapa mbinu..mbadilishe viwanja vya kuwinda😀😀😀🙄🙄🙄🙄 sio msubiri PM tu
 
Kwangu jibu ni hapana.

Nimesha"comment" mara nyingi tu kila la kheri lakini haina uhusiano wowote.
 
JF bwana,mie nilikua nataka kujua kama mnaotoa kila la kheri mko single,ila mnaleta utani..😳😳😳🙄🙄🙄😱😱
 
Back
Top Bottom