''kila la kheri''.....??

''kila la kheri''.....??

Hello wakaka na wadada…

leo naweka assumption...prove me wrong

Ukiona umeweka tangazo lako la kutafuta mume au mke

wale wanaokujia na 'kila la kheri'

ni singletons..!!!

Either,wanataka uwa notice au umekosa vigezo kiduchu ambacho ungekomaa nae angeweza kushusha na mkakubaliana..lol

Embu semeni ,je una mtu ?? ushawahi kusema 'kila la kheri' humu?? kipi kilichokusukuma kujibu hivyo?je hauna mtu/[partner na ushawahi kujibu 'kila la kheri' kwenye thread ya mdada/mkaka ?? nini kilikusukuma?

Lengo ni kuboresha mahusiano,

Maana wengine wanalalamika wameleta matangazo yao humu love connect bila matokeo mazuri,sasa leo tunawapa mbinu..mbadilishe viwanja vya kuwinda😀😀😀🙄🙄🙄🙄 sio msubiri PM tu


mhhhhh! nishajua haja ya moyo wako
 
Bado kupata ushuhuda wa mtu kupata mke/mume kwa jf na wakaishi wakadumu angalau kwa miaka 5 ndani ya ndoa
 
Back
Top Bottom