Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello wakaka na wadada…
leo naweka assumption...prove me wrong
Ukiona umeweka tangazo lako la kutafuta mume au mke
wale wanaokujia na 'kila la kheri'
ni singletons..!!!
Either,wanataka uwa notice au umekosa vigezo kiduchu ambacho ungekomaa nae angeweza kushusha na mkakubaliana..lol
Embu semeni ,je una mtu ?? ushawahi kusema 'kila la kheri' humu?? kipi kilichokusukuma kujibu hivyo?je hauna mtu/[partner na ushawahi kujibu 'kila la kheri' kwenye thread ya mdada/mkaka ?? nini kilikusukuma?
Lengo ni kuboresha mahusiano,
Maana wengine wanalalamika wameleta matangazo yao humu love connect bila matokeo mazuri,sasa leo tunawapa mbinu..mbadilishe viwanja vya kuwinda😀😀😀🙄🙄🙄🙄 sio msubiri PM tu
hahaaa nani huyo?
hahaaaa haya bwana...mie sisemi kitu..mnhhh
Unasonya vizuri sana yaaniihapa JF..mxiewww
haya honey,tusiongee mengi..lol.
Namimi nakusubiritwenzetu ...lol
twenzetu ...lol
unataka nipewe talaka sasa,lol
washa tukutuku twende,lol
Hata mimi huwa najiuliza hili swalikwani wale wanaopost wanatafuta wachumba huwa wapo serious kweli?