Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila lakheriHello wakaka na wadada…
leo naweka assumption...prove me wrong
Ukiona umeweka tangazo lako la kutafuta mume au mke
wale wanaokujia na 'kila la kheri'
ni singletons..!!!
Either,wanataka uwa notice au umekosa vigezo kiduchu ambacho ungekomaa nae angeweza kushusha na mkakubaliana..lol
Embu semeni ,je una mtu ?? ushawahi kusema 'kila la kheri' humu?? kipi kilichokusukuma kujibu hivyo?je hauna mtu/[partner na ushawahi kujibu 'kila la kheri' kwenye thread ya mdada/mkaka ?? nini kilikusukuma?
Lengo ni kuboresha mahusiano,
Maana wengine wanalalamika wameleta matangazo yao humu love connect bila matokeo mazuri,sasa leo tunawapa mbinu..mbadilishe viwanja vya kuwinda😀😀😀🙄🙄🙄🙄 sio msubiri PM tu
Basi inbobounataka nipewe talaka sasa,lol
nadhiri;siku zote nitakupenda,mwingine sitoona,wewe ndio baba Rebbeca na Rebbeca mama mfwimijr,mkuu naona umeigeuza hii mada iwe mfano halisi hahahahahahah haya bwana...
Inaonyesha unakujua..huko kuna wadudu watambaao siji,,lol
Neno 'TENA" linaashiria ushawahi kwenda banaaasidanganyi,nishawahi kwenda huko...sitarajii kwenda huko tena..lol
JF bwana,mie nilikua nataka kujua kama mnaotoa kila la kheri mko single,ila mnaleta utani..😳😳😳🙄🙄🙄😱😱
No baby,nimependa hufichi hisia zako kwangu,naahidi kukupenda daima,... kuanzia sasa mimi ni wako..sijali wengine watasema nini..lol
Nimewahi kusema "kila la heri" kwa maana ya KILA LA HERI, sikuwahi kufikiria kuwa watu wanaweza kusema "all the best" huku wakimaanisha mengine.
Halafu, if you really need to approach someone, kuna haja kweli kuzunguka mbuyu?
Hello wakaka na wadada…