''kila la kheri''.....??

''kila la kheri''.....??

kumbuka nadhiri yetu

nadhiri;siku zote nitakupenda,mwingine sitoona,wewe ndio baba Rebbeca na Rebbeca mama mfwimijr,mkuu naona umeigeuza hii mada iwe mfano halisi hahahahahahah haya bwana...
 
Hello wakaka na wadada…

leo naweka assumption...prove me wrong

Ukiona umeweka tangazo lako la kutafuta mume au mke

wale wanaokujia na 'kila la kheri'

ni singletons..!!!

Either,wanataka uwa notice au umekosa vigezo kiduchu ambacho ungekomaa nae angeweza kushusha na mkakubaliana..lol

Embu semeni ,je una mtu ?? ushawahi kusema 'kila la kheri' humu?? kipi kilichokusukuma kujibu hivyo?je hauna mtu/[partner na ushawahi kujibu 'kila la kheri' kwenye thread ya mdada/mkaka ?? nini kilikusukuma?

Lengo ni kuboresha mahusiano,

Maana wengine wanalalamika wameleta matangazo yao humu love connect bila matokeo mazuri,sasa leo tunawapa mbinu..mbadilishe viwanja vya kuwinda😀😀😀🙄🙄🙄🙄 sio msubiri PM tu
Kila lakheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mummy! kwani hujapendezwa kuwa mfano halisi ili wengine wajifunze?
 
No baby,nimependa hufichi hisia zako kwangu,naahidi kukupenda daima,... kuanzia sasa mimi ni wako..sijali wengine watasema nini..lol
 
Inategemea ntu na ntu kumbuka humu kuna baadhi wanaruhusiwa kuwa na wake hadi wanne 🤗🤗🤗na wengine labda hawavutiwa hivyo huamua kukaa pembeni kwenye mtifuano wa kumsarandia mrembo.

JF bwana,mie nilikua nataka kujua kama mnaotoa kila la kheri mko single,ila mnaleta utani..😳😳😳🙄🙄🙄😱😱
 
No baby,nimependa hufichi hisia zako kwangu,naahidi kukupenda daima,... kuanzia sasa mimi ni wako..sijali wengine watasema nini..lol

Nami ahadi yangu kwako ni moja tu, nitakupenda daima, nitembeapo basi kivuli chako ki pembeni yangu
 
Nimewahi kusema "kila la heri" kwa maana ya KILA LA HERI, sikuwahi kufikiria kuwa watu wanaweza kusema "all the best" huku wakimaanisha mengine.

Halafu, if you really need to approach someone, kuna haja kweli kuzunguka mbuyu?
 
There is no need of roaming around the bush, you have to be directly to point!
 
Rebeca huwa una akili nyingi, ila basi tu. You are closer to genius.

-Kaveli-
 
Kila la kheri

Back
Top Bottom