anazeeka vibaya huyu babu
Ni kweli marefa wanafanya makosa mara zingine lakini haiwezi kuwa kila ukifungwa unalaumu marefa.
ni kocha yupi asiyelalamikia makosa ya marefa? kama refa anafanya kosa wote tunatakiwa kukubali bila kujali umefungwa au umeshinda. Hata hivyo kwakawaida kocha hawezi kumlalamikia refa eti kwanini ameshinda.
You should know the negative and positive position guys. Ni jambo la kawaida kuongea kitu kwa kuelekeza upande wako. Mfano mtu anaelezea kikombe cha kahawa anayoipenda atasema kikombe kipo nusu tupu ( half empty) kwasababu alitaka iwe nyingi, wakati huohuo mwingine atasema kikombe kipo nusu kujaa (half full) kwasababu hataki sasa anaona kahawa ni nyingi.
SAF hafanyi kosa kulalamika kama refa kafanya kosa, ni vibaya kama analaumu wakati refa hajafanya kosa.
SAF kazidi kulialia bwana
Ninyi ndo mmezidi kumlaumu na kuilaumu Man U nadhani ni chuki binafsi. Kila inaposhinda Man U mnadai refa kapendelea na refa anapofanya makosa yanayoiumiza Man U ninyi hamkubali au mnafumba mdomo. Huoni mko biased?
What I see here guys mmejaa ushabiki tu, can't u comment fairly jamani? Niambieni kocha gani hajawahi kumlalamikia refa?
Ancelotti admitted Drogba might have been offside for Chelsea's goal but said: "It was very difficult for the linesman to see. There was a lot of concentration of players in the box
wastaarabu huwa wanakubali, washindani ndo wanapinga kwa ushabiki. Hata leo Liverpool wanatakiwa kukubali kuwa goli lao la pili ni la kupewa na refa kwani jamaa ka-dive wala hakukuwa na kugusana au kosa lolote la beki.
What I see here guys mmejaa ushabiki tu, can't u comment fairly jamani? Niambieni kocha gani hajawahi kumlalamikia refa?
Na we cjui unamaanisha nn hata haueleweki unataka sema makocha wate wakifungwa huwa wana walaumu marefa? Mbona kuna makocha wengi tu huwa wanaelekeza lawana kwa wachezaji waliopwaya kwenye game hata Sir alikuwa ni miongoni siku za nyuma na alikuwa anawaweka hadi bench wachezaji wakichemsha siku hizo naona ni uzee tu.
Makocha wazuri mara nyingi wanakubali kushindwa na kuahidi kujirekebisha kwenye game zinazokuja cyo kulia na marefa kila ukifungwa..Upo mzee!