ni kocha yupi asiyelalamikia makosa ya marefa? kama refa anafanya kosa wote tunatakiwa kukubali bila kujali umefungwa au umeshinda. Hata hivyo kwakawaida kocha hawezi kumlalamikia refa eti kwanini ameshinda.
You should know the negative and positive position guys. Ni jambo la kawaida kuongea kitu kwa kuelekeza upande wako. Mfano mtu anaelezea kikombe cha kahawa anayoipenda atasema kikombe kipo nusu tupu ( half empty) kwasababu alitaka iwe nyingi, wakati huohuo mwingine atasema kikombe kipo nusu kujaa (half full) kwasababu hataki sasa anaona kahawa ni nyingi.
SAF hafanyi kosa kulalamika kama refa kafanya kosa, ni vibaya kama analaumu wakati refa hajafanya kosa.