Kila manusura wa Precision kulipwa Sh. milioni 70

 
Kuanzia leo naanza kupanda ndege hizi Neema sio za kuzikosa
 
marehemu nao watafidiwa kiasi gani? kama kifuta machozi kwa waliondokewa na wapendwa wao? Ukizingatia wengine ndio walikuwa bread earners wa familia hizo
Ndege zote za abiria ni lazima ziwe na Life Insurance hivyo Bima ndio itafanya hizo compensation na kwa uelewa wangu hakuna bima inayolipa chini ya 20,000$ kwa mrithi wa marehemu.

Wale ambao wapendwa wao wamefariki kwenye International flight huwa baada ya mazishi maisha hubalika chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…