Kila mchezaji wa timu ya Taifa Ujerumani kulipwa Tsh. Milioni 909.5 wakishinda Kombe la Dunia

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1664126124742.png

Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar.

Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu kwa hatua ya makundi, kila mchezaji atapewa Tsh. Milioni 113 na wakifanikiw kuingia katika nane bora watapewa Tsh. Milioni 227 kila mmoja.

Nafasi ya nusu fainali itawapa nafasi ya kila mchezaji kulipwa Tsh. Milioni 341, wakati hakikisho la kufika nafasi ya tatu likiwapa dau la Tsh. Milioni 454 kwa kila mchezaji wa Ujerumani.

============================

Germany players will each receive €400,000 (US$390,000) if they lift the World Cup in Qatar later this year, the country's football association (DFB) said on Sunday (Sep 25) after agreeing on tournament bonuses with the team.

The bonus for the title win is up from €350,000 for the previous tournament in 2018, when Germany crashed out in the first round. When Germany won the title at the Brazil World Cup in 2014, the players received bonuses of €300,000 each.

Clearing the group stage in Qatar will earn each player €50,000 while a spot in the last eight will net them €100,000 each.

Germany, desperate to make amends for their dismal 2018 performance, have been drawn in Group E along with Spain, Costa Rica and Japan.

The tournament starts on Nov 20 and Germany open their campaign against Japan on Nov 23.
A semi-final spot is worth €150,000 each, while winning third place would earn Germany's players €200,000 each. Losing in the final would be rewarded with a €250,000 bonus.

"We had intense discussions in a good and constructive atmosphere," said DFB President Bernd Neuendorf following a meeting with team representatives Manuel Neuer, Thomas Mueller, Joshua Kimmich and Ilkay Gundogan.

"At the end of the day we have found an acceptable solution for everyone."
Source: Reuters
 
Huku kwetu wataenda kupanda mlima kilimanjaro na kutembekea mbuga za wanyama wachezaji wetu wakishinda
 
View attachment 2367985

Ujerumani ilikuwa zamani saiv hawana tena team wenzao ni England, kina Mulla hoi bin taaban
 
Approved
 
Back
Top Bottom