T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
masai dadaSio mashangazi wote acha kuwatisha vijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
masai dadaSio mashangazi wote acha kuwatisha vijana
Ushauri wa kishujaa!Ukipata shortcut pita nayo
Hakika!Yeah ni kweli,. Mwenye masikio na asikie
Kila siku unaomba siku nikikupe utawezana???Mama yeyo nataka unipee Ile kitu inamesa mwensie
Ndio nitawezana 😂Kila siku unaomba siku nikikupe utawezana???
Kupata Ukimwi ni kama ajari tu, kila siku watu wanakufa kwa ajari za barabaran lakin huwez kuacha kusafir, ni kumuomba Mungu tu tuwe na mwisho mwema na kila mtu anaitwa kwa njia yake. Huwez ukajiwekea guarantee kuwa utakufa kwa gonjwa lipi [emoji120][emoji120]Hiki ni kisa cha kijana mmoja mbishi kilitokea miaka ya 2008,
Kijana alitokewa na bahati ya kupata shangazi mpaka baadhi ya vijana wengine walifikiri kwanini zari halikuwaangukia wao .......
Katika shughuli zake za ukatishaji tiketi.
Wakaanzisha uhusiano kijana akapewa kila alichohitaji kwanza alitekenya anunuliwe pikipiki shangazi akanunua zile baja kubwa zenye taa mbili 250 akamuhonga kijana.
Kijana akasema sina nguo..... akapelekwa south africa kupigwa shopping....
kijana akaona amepata akamchukua shangazi mpaka home kuwaonyesha wazazi ..
ile kufika tu bi mkubwa ana jicho la tatu akamcheki mkwe alipoondoka akamwambia kijana wake hapo hakuna mke kifupi simtaki,...
Tafuta mwingine......kijana hakuridhika maneno ya mama yake...
Shangazi miaka miwili nyuma alifiwa na mumewe aliyekuwa mkurugenzi wa moja ya viwanda vya kuzalisha malighafi za ujenzi kifupi mama alikuwa na ukwasi wa kutisha......kijana akapangiwa nyumba nzima akaamuwa kuondoka kwao...shangazi akawa anatoka kule kwake anakwenda kujifungia kwa kijana baada ya miezi kama sita kijana akaanza kuonekana mabega yanapanda na kukonda akasingizia stress na kukatalia kwa asali ya moyo na wazazi kijana akaporomoka afya mpaka ikafikia familia kumrudisha nyumbani alipata ukimwi!......mawasiliano yakafa na shangazi ......
Siku moja shangazi akapita maeneo ya maskani ya kijana akawasalimia shemeji zake ... akaambiwa unajua kijana mwenzetu aliumwa mpaka kurukwa na akili.....shangazi akajibu najua sana ila kila mchuma majanga hula na wakwao mpeni pole.....jamaa walimaindi sana ila walishindwa kumwambia......!
Vijana wacheni tamaa sikilizeni wazazi.....baadhi ya mashangazi ni mabomu yanayotembea!
Somo sio kufa kwa ukimwi ni kupenda ganda la ndizi!Kupata Ukimwi ni kama ajari tu, kila siku watu wanakufa kwa ajari za barabaran lakin huwez kuacha kusafir, ni kumuomba Mungu tu tuwe na mwisho mwema na kila mtu anaitwa kwa njia yake. Huwez ukajiwekea guarantee kuwa utakufa kwa gonjwa lipi [emoji120][emoji120]
hii ndo nimeiona leo , mbona mashangazi watu awawaheshimu 😂
🤣🤣🤣🤣 wakati ni watu potensho au siohii ndo nimeiona leo , mbona mashangazi watu awawaheshimu 😂
Muda mwingine ni hela.Mshahara wa dhambi ni......
HahahahaMuda mwingine ni hela.
Au sioMzee hii story inge make sense miaka ya 1999 kurudi nyuma.
Huku mtaani watu wenye ngoma ndio wana ng'aa na mvuto kuliko wazima wa afya waliokondeana kwa stress.
Kimsingi dogo atakuwa alipatwa na kansa, ukimwi ulisingiziwa tu. Ngoma siku hizi haikondeshi ndio maan hivi vitoto vya 2000 vinaukimbiza mwenge wa ngono bila shida yoyote na kwa uhakika.
Wenye huu ugonjw wema ndo wale utaiona lkn hauli dem akikataa usifos San , ukut weny roho za kutu ndo kam huo mshangaz yn anakup umem kweup na methali juuHiki ni kisa cha kijana mmoja mbishi kilitokea miaka ya 2008,