😂😂😂AisehHuyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.
Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.
Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu
Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
Hamkukaa uchumba ?Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.
Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.
Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu
Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
😊😊!
Pole, tarajia kuzaa watoto vilaza, hivyo una kazi ya ziada kuja kuwashepu watoto wakoHuyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.
Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.
Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu
Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
si kuna tafiti ilisema cavy women make smarter babies? au ilikua yadanganya?Pole, tarajia kuzaa watoto vilaza, hivyo una kazi ya ziada kuja kuwashepu watoto wako
ndio wale wa kuchanganya "r" na "l" ?! au "h" na "a" Unakuta dem mzuri shape imekaa mkao unachukua number kwenye kuchat unakutana na:Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.
Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.
Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu
Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
Unamanisha nini kusema cavy?si kuna tafiti ilisema cavy women make smarter babies? au ilikua yadanganya?
i mean curvyUnamanisha nini kusema cavy?
Ahaa! Inawezekana labda mke wa jamaa yeye IQ yake ni ndogo tu kijenetiki na anajilaumu kwa sababu alioa kwa kuzingatia uzuri bila kuangalia IQ.i mean curvy