Kila mke wangu akifanya madudu, namkumbuka Ex wangu alikua na akili nikamuacha maana hakua mzuri

Ila kama anaweza kugundua kama mtoto anaumwa na anaweza kusimamia unywaji wa dawa kwa watoto na hana shida kwako, basi kubaliana na hali.

Kikubwa ujiandae kuwa main striker wa familia kwa kila jambo hata kuhimiza watoto waende shule. Hata ukiwa mbali na familia unakuwa na wasiwasi sana mana unakuwa unajua umeacha kilaza.

Hebu jarinu kumuuliza akupe pendekezo la mradi wa familia na jinsi atakvyouendesha uonesha kama unataka kumpa mtaji
 
Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.

Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.

Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu

Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
Subiri akili za watoto wako Sasa.
Kumbuka mtoto wa kiume huchukua akili za mama.
 
Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.

Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.

Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu

Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
Niliachana na mrembo mmoja huyo mtamu ila hana akili kabisa. Nikilala nae nikimaliza hatuongei zaidi ya dakika 10 ananikera naingia JF au Twitter. Nikaapa sitakuwa na mwanamke hatuendani akili na vipaumbele.
 
Kuna mmoja nilikua nikitoka nae nje, watu wanatutazama sana, mana alikua pisi kali kweli kweli,

Cha ajabu tukiwa ndani nilikua sina furaha, ni mzuri ila alikua mkorofi sana, anataka yeye akiongea umsikilize, ila wewe ukiongea hana habari, pia alikua ni kupenda gossip.

Mbaya zaidi alikua aliamini sana hawa makungwi wa mtandaoni, yani kile we unaona ni ujinga yeye anakifanya kama fact, inahort alikua haishi katika uhalisia, niliamua kuachana nae.

Wengi waliona kama nimemuacha binti mzuri lakini inside out mimi ndo najua, lile ni balaa, na ningempa mimba ndo ningejuta zaidi maishani mwangu
 
Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.

Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.

Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu

Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
Nipo nacheka kwa kichina hapa
 
Bwana mdogo nakuambia kwa herufi kubwa

HUYO NDIO MKE.....AMETOSHA NAFASI YAKE MKE.....

Kujadiliana na mke masuala mazito ya nje ya nje ndoa kunapunguza upendo baina yenu ingawa wengi kwa haraka hawawezi kuliona hili mpaka mambo yaharibike......

Ndoa nyingi zinavunjika kwa wanandoa kutochunga mipaka baina yao na wake zao......hakikisha mke anabakia kwenye nafasi yake ya mke........ mengine yawe kama ziada.......

Sio mke anajua kila kitu mpaka mnabishana mambo ya vita vya Ukraine na Russia mara mke anachambua bajeti na kamati za bunge.....mke anatakiwa awe na kaujinga flani.....
 
Mungu hampi mtu vyote
 
Mimi nilioa mtu anae nipenda nilikua na soul mate 10 June nili itaji jibu la yes I do akasema tue marafiki

Nikaenda toa mahari kwa Alie nipenda tukafunga pingu za Maisha baadae soul mate akaanza kunifuata Sana nikamwaambia deal done akashindwa kuniacha maana Mimi ni gentleman

Vijana oana au oa wanao kupenda utafuraia

NB.
Kuna thread yangu ya mwezi Feb kuvunjika. Mguu na wife kanisaidia ku pool na mambo mengi Mimi nilipata mke na mwezi ulio pita tumepata zawad ya beautiful girl
 
Bwana mdogo nakuambia kwa herufi kubwa

HUYO NDIO MKE.....AMETOSHA NAFASI YAKE MKE.....

Kujadiliana na mke masuala mazito ya nje ya nje ndoa kunapunguza upendo baina yenu ingawa wengi kwa haraka hawawezi kuliona hili mpaka mambo yaharibike......

Ndoa nyingi zinavunjika kwa wanandoa kutochunga mipaka baina yao na wake zao......hakikisha mke anabakia kwenye nafasi yake ya mke........ mengine yawe kama ziada.......

Sio mke anajua kila kitu mpaka mnabishana mambo ya vita vya Ukraine na Russia mara mke anachambua bajeti na kamati za bunge.....mke anatakiwa awe na kaujinga flani.....
Sense of being inferior gentleman. Why iweshida kupeana challenge kuhusu hizo artillery, howitzers and likely kama ni field yangu. Mbona ni suitable tu😥 wale wake mnaotaka wabaki na kaujinga flani flani mmeshazeeka nao.😂😂
 
Kuna mmoja nilikua nikitoka nae nje, watu wanatutazama sana, mana alikua pisi kali kweli kweli,

Cha ajabu tukiwa ndani nilikua sina furaha, ni mzuri ila alikua mkorofi sana, anataka yeye akiongea umsikilize, ila wewe ukiongea hana habari, pia alikua ni kupenda gossip.

Mbaya zaidi alikua aliamini sana hawa makungwi wa mtandaoni, yani kile we unaona ni ujinga yeye anakifanya kama fact, inahort alikua haishi katika uhalisia, niliamua kuachana nae.

Wengi waliona kama nimemuacha binti mzuri lakini inside out mimi ndo najua, lile ni balaa, na ningempa mimba ndo ningejuta zaidi maishani mwangu
You are lucky
 
Back
Top Bottom