Kila mke wangu akifanya madudu, namkumbuka Ex wangu alikua na akili nikamuacha maana hakua mzuri

AHAHAHAHAHHAA pole zake huyo Ex wako, sasa ukirudi zimeisha ndo mnakaa sasa kubi9shana hoja mkiwa bila nguo?
ahahahahahhaa
Anataka nijieleze kwa hoja na fakiti nilikuwa wapi na kwanini sikuaga na mshahara uko wapi ?
Hapo masikini ya Mungu na nguvu za kiume zinaniishia ghafla
 
Huenda anahitaji marekebisho madogo tu ila wewe umeona ni tatizo kubwa,
kama anakuheshimu mwelekeze taratibu,
kuna shemej mmoja sikutarajia hata dukani kama Angekaa ni mpole saana
 
Ulifeli, sura na trako mjombaaa😂😂hawa sura za baba ndo wenyw
 
wanaume tuliambiwa tutapewa wasaidizi ila tunajichanganya badala ya kupatawasaidiizi sisi ndio tunageuka wasaidiizi
 
Pole sana, kuna kikubwa cha kujifunza hapa kwa vijana mnaotarajia kuoa. Mwenye sikio na asikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…