Kila mmoja aandike analotaka kwenye picha hii

Tutajua feelings za kila mmoja. Mimi nitaandila wa mwisho
Ingependeza zaidi huyo aliyetajwa kwa jina ndiye angekuwa chini ya hilo shuka jeupe.
Hayo ndiyo maoni yangu.
Sikutaka kuandika chochote kwenye mada hii; lakini 'emotions' zimenielemea nilipoona picha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…