Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,715
- 8,058
Habari wana JF,
Kwa mwanamke au mwanaume yeyote kuna nyakati tunakaa na kuanza kuhesabu wapenzi ambao tekuwa na mahusiano nao. Na kuna nyakati tunawaza kuwa ni wangapi wameshaoa au kuolewa mpaka sasa (Yaani wangapi umeshaozesha) [emoji23],,,Alafu kuna huwa kuna yule mpenzi ambaye huwa unajilaumu sana kuachana naye...
Binafsi nimeshakuwa na wapenzi 30 mpaka leo, nimeshaozesha watatu (3),,,Kati ya hao wawili nimejuta sana kuachana nao ambao wameshaolewa tayari...mmoja nilimpenda sana mpaka nikatamani turudiane nimuoe ila akakataa kabisaaa...kwasasa nina mmoja ninampenda sana nawaza kumuweka ndani kabisaa maana umri nao umefika.
We mdau list yako ikoje?,,,fungukaaa