Lipia Tangazo πKuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana.
Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af wanatuchukulia poa sana. Ila wakiona kua tunahitajika, akili zawakaa sawa.
Sometimes she forget that she has a super handsome by her side.
Tuna hasara ya vizazi vya kisasaCheck your hormones, hazipo balanced
Hahah wewe angalia simu ya my Bebe wako uzidi kumpenda
ππHahah wewe angalia simu ya my Bebe wako uzidi kumpenda
Wapo mbwa wanaokula hadi mifupa ya kongoro..!!Minyama yote umejiwekea wewe hiyo mifupa ale nani?
Na vita itaanza rasmi apooππ
Nikianza kuangalia yake na yeye atataka kuangalia yangu
tena ya moto