kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Asante kwa taarifaKuna muda ni kama analeta kunizoea, ila akishika simu akiangalia social media ninavyotongozwa, anajua kumbe yuko na " Dhahabu" Yenye thaman sana.
Unakua sometimes wapenzi wetu wanatuzoea af wanatuchukulia poa sana. Ila wakiona kua tunahitajika, akili zawakaa sawa.
Sometimes she forget that she has a super handsome by her side.