Kila mpenzi wangu akishika simu yangu, anazidisha mapenzi na heshima kwangu

Bado una akili ndogo sana.
Uthamani wa mtu haupo kwenye kutongozwa.

Uthamani wako hauko kwenye kutombana sana.

Uthamani wa mtu upo kwenye kujijali, kujilinda na kutimiza ndoto zake na familia yake na taifa lake.

Mnazipa kumma thamani sana...ni ngozi tu hiyo.

Demi
 
Unapoteza muda wako kumshauri huyu dogo. Imagine ni mtoto wa kiume anajisifia kutongozwa. Kuna siku alisema kwamba yeye ni mzuri kuliko dada yake.
Something is wrong somewhere.
 
Nakubusu naona umesikitika 🤣🤣
 
Unapiga bomu mortuary
 
Me nikiona hivyo najua ni Malaya Mwanamke anayejistili hizo mambo Hana nzi hufuata mavi na kuyasonga songa na mizoga sehemu safi na salama hawafati
 
Dah nilijua wa kike, kuna usalama hapo kweli super handsome?
 
Kwa akili hizi bado haujaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…