Hivi wewe unaenda kumshauri bosi wako unaanza na neno Bwege atakusikiliza hata kama una hoja? Eti wewe bwege ngoja nikupa ushauri si atakukimbiza na marungu hata kabls hujaongea .Waliokuwa wakiyasema hayo mliwatukana na wengine hata kuwapiga risasi.