mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
TUNATAKA TANGANYIKA. iNAUZWA TANGANYIKA , ZANZIBAR IKO SPARED.Tumepigwa sana Watanganyika
Ni vema Tanganyika irudishwe hata kama imebaki mifupa mitupu.Mbona hata yule mjusi wa Mtwara tunadai mifupa bila nyama yake?TUNATAKA TANGANYIKA. iNAUZWA TANGANYIKA , ZANZIBAR IKO SPARED.
Mzigo ukifika utakiwapo kifungashio hutumika kuwashia moto.Tanganyika imekuwa ni kifungashio cha zanzibar kwa muda mrefu
Shida yenu tunapoitaka Tanganyika yetu mnatuletea uccm wenu.Tumepigwa sana Watanganyika
Itoshe kusema, tunahitaji kuungana watangayika kuitetea Tanganyika yetu na kukemea dhuluma kwa watangayika wenzetu popote pale walipo
Ni wendawazimu kabisa huo mkuuNchi yetu inafirisiwa halafu kuna Mitanganyika baadhi inakenua meno tu
Mkuu,Shida yenu tunapoitaka Tanganyika yetu mnatuletea uccm wenu.
Apige supana majuha ya Tanganyika...?Kabla ya kuitaka tanganyika yenu kwani nani kaipoteza,mama piga spana hao majuha wa tanganyika mpk akili ziwakae sawa
Hili likiwezekana sawaNi wakati sasa wa watanganyika wazalendo ndani ya serikali kumuunga mkono Polepole kwa kujiuzulu nyadhifa zao.
Enzi na enzi vipofu walikuwepo na wataendelea kuwepo, ila habari njema ni kwamba, siku wanapofunguliwa, hufurahia uumbaji wa MunguTawile
Kina Mpina, Gambo, January Majaliwa Kasimu Gwajima, Chadema na wengine wengiNi wakati sasa wa watanganyika wazalendo ndani ya serikali kumuunga mkono Polepole kwa kujiuzulu nyadhifa zao.