Mkuu wa Mwakibete usibishane na Maboso.Maboso ni povu la Ulanzi.Unatarajia atachangia nini hapa?
Hata ukieleweshwa mpaka mtondogoo hutaelewa maana umejiandaa kupinga tu. Pole maandamano 25th march
mkuu km huhusiki kuandamana, tuachie tunaohusika. Story zako peleka lumumba
nyie andamanen tuu ila akifa mtu tusisikie makelele, kwan hakuna njia nyingine za kupresent hzo idea zenu? Kuna data zipo zinaonyesha sahv uwezo wa waalim umeshuka sana tena waalim hawa wanaoajiriwa kwa wingi hv karbun ni kajanjaaa
Tangu umekariri neno kujitambua basi unajiona umemaliza kila kitu.
Akili zako hazina tofauti na za kuku
Bora povu la ulanzi kuliko povu la viroba kama la kwako.
Kwani kuandamana Mara 1 Ndio elimu itaboreka....?
Kiongozi
1. Hizi internet na mitandao, masimu nk vipo tanzania pekee kenya hakuna? kama kenya pia vipo tuambie kwanini hakuna 90% failure huko kwa wakenya?
2. Wakenya walizua mgogoro kati ya walimu na serikali kuhusu maslahi bora kwa walimu na serikali ilikaa na walimu wakatatua. Je serikali yako ya Tanzania imekaa na kutatua madai ya walimu kuhusu kuboresha maslahi yao? kama hapana unadhani walimu wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi? kama hapana kwanini watoto wasifeli?
Ni hayo tu kiongozi.