Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Mimi nimegundua star tv hawasomi habari mpaka itv waisome kwanza, ili waangalizie kichwa cha habari. Pili nimegundua baskeli iliyotolewa break inakimbia sana kuliko yenye break. Na wewe umegundua nini?
Mimi nimegundua star tv hawasomi habari mpaka itv waisome kwanza, ili waangalizie kichwa cha habari.
Pili nimegundua baskeli iliyotolewa break inakimbia sana kuliko yenye break.
Na wewe umegundua nini?
Nimegundua huna elimu Ni brake sio break