Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kocha wa AZAM anafanya kusudi AZAM asishinde akicheza na Yanga, no crosses, no long balls, no goal intent, no intensity, kuna wachezaji wa AZAM pia wanakula Rushwa dhidi ya Yanga.Mimi nimegundua kama Yanga wameweza kumpa bahasha kipa wa Azam basi Azam hawana pesa ya kumpa Fei Toto😄