Kila mtu aandike kitu ambacho anaamini watu wengi hawakijui

Kila mtu aandike kitu ambacho anaamini watu wengi hawakijui

Siku ukivaa hovyo hovyo usipo pendeza ndo unakutana na demu unae mzimia
Kama kwenu kuna ng'ombe basi utakutana nae ile siku uko na baiskel unatoka kukata majani, ilimradi tu uonekane huna maana.
🤣🤣🤣 Ukweeeliiii
 
Kunywa pombe unywe na maziwa mlevi sugu.

RIP in advance
Uongo mtupu,mtu anatoka kunywa Pombe na anakunywa maziwa tena nusu Lita akiamini inapunguza sumu ya Pombe na hii Ni kila baada ya kunywa Pombe na hakuna aliekufa.
 
Sio kweli , hio inaitwa 'Reverse psychology ' it's very risky unaweza kukutana na Ndoige wakati mwingine..
Kwa mfano ukimpenda mwanamke onyesha huna time nae atakupenda pia

Ukionyesha unampenda atakuwa Hana time naww sababu anajua any time akikuhitaji anakupata
Sio hivyo tuu

Hata maadui hupenda kukitumia unacho ki penda ili kuku umiza mfano.mtoto,mke,mari,au Siri frani,
 
Mimi nimegundua star tv hawasomi habari mpaka itv waisome kwanza, ili waangalizie kichwa cha habari.

Pili nimegundua baskeli iliyotolewa break inakimbia sana kuliko yenye break.

Na wewe umegundua nini?
Wewe kuna kitu unawatafuta STAR-TV... unajua kwamba Star-tv ni moja ya chombo huko afrika mashariki ambacho kimetoa waandishi wengi kwenda kufanya kazi media kubwa kubwa nchi zilizoendelea huko dunia ya kwanza?!
 
Back
Top Bottom