Kila mtu aandike kitu ambacho anaamini watu wengi hawakijui

Kila mtu aandike kitu ambacho anaamini watu wengi hawakijui

Usiku ukiwa umelala minyoo huwa inatoka nje kupata hewa. .

Ila ukiwa na minyoo mingi huwa inatoka puani. Ukiona mtoto pia zote mbili Zina minyoo hapumui vizuri. Hakikisha unavuta mnyoo wa upande mmoja. Ukivuta wote wawili wakakatika unaweza is mtoto. Wakati mwingine anaweza kuwa kichwa kimetoka upande mmoja wa pua na mkia umetoka upande wa pili. .

Seen this with my own eyes. .
We jamaa!!
 
Mimi nimegundua star tv hawasomi habari mpaka itv waisome kwanza, ili waangalizie kichwa cha habari.

Pili nimegundua baskeli iliyotolewa break inakimbia sana kuliko yenye break.

Na wewe umegundua nini?
Atajuaje kuwa 'wengi' hawakijui? Je wengi ni wangapi na wa wapi?
 
Viongozi wa kiafrika wanaotumia akili za kuzaliwa na akili za kusoma darasani ni wachache sana kama wapo.
 
Back
Top Bottom