Kila mtu aandike kitu ambacho anaamini watu wengi hawakijui

Kila mtu aandike kitu ambacho anaamini watu wengi hawakijui

nimegundua watu wamtandao huu niwabishi kinoma.halafu wanapenda ligi kweli.hata mods.ila nakomaa nao kibishitu
 
Ukiwa ndani peke yako ukajamba, ni lazima mtu unayemheshimu atokee ghafla akute harufu ya ushuzi wako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hili nishanikuta mara nyingi sana.

Unakuta unaachia ushushi mzito tena ule wa kubinua kalio moja halafu unatoka taratibu bila kutoa sauti mithili ya puto kutoka upepo.

Ukimaliza tu na kuanza kusikilizia harufu yake(mjambaji huwa hahisi haruma kama mbaya) ghafla unaona mtu anaiingia 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom