Sisi wachaga bhana, yaani Mbowe aliumizwa kuliko Tundu Lisu?!!Mbowe hakutishwa isipokuwa aliumizwa kuliko mtu yoyote na utawala dhalimu wa kishetani kabisa, sisi ndiyo wapumbavu haswa, kwanini tutishwe na mwanaume mmoja?
Hivi we mke wa Mbowe una hakika Mbowe aliumizwa kuliko mtu yeyote kwa ushahidi upi?Mbowe hakutishwa isipokuwa aliumizwa kuliko mtu yoyote na utawala dhalimu wa kishetani kabisa, sisi ndiyo wapumbavu haswa, kwanini tutishwe na mwanaume mmoja?
Leo unakubali kuwa tundu lissu aliumizwa na jiwe sio?Sisi wachaga bhana, yaani Mbowe aliumizwa kuliko Tundu Lisu?!!
Mkuu huyu Babati hakika ni mkanda tena mkanda asiye jificha.Sisi wachaga bhana, yaani Mbowe aliumizwa kuliko Tundu Lisu?!!
Umeongeza idadi, maana licha ya hao inawezekana wengine arhumSisi wachaga bhana, yaani Mbowe aliumizwa kuliko Tundu Lisu?!!
Tundulisu mlikusudia kumuua kabisa ila mungu hakupenda huo udhalimu wenuSisi wachaga bhana, yaani Mbowe aliumizwa kuliko Tundu Lisu?!!
Kama jiwe alivyokuwa hajifichiMkuu huyu Babati hakika ni mkanda tena mkanda asiye jificha.
Tatizo ni ugonjwa wake uliompelekea kwenda kuteketeza mabilioni yetu kule kwa kina Mithun ChakrabotNi kweli mkuu, na ukitaka kulijua kubwa jinga la kujipendekeza basi angalia maneno ya ndugai wakati ule na leo, yaani utaona akili ya kujikomba iko wazi kabisa ktk macho na ubongo wa yule mzee.
Ndugai ameboa sana.
Wameanza kujitokeza sasa na kutubuLeo unakubali kuwa tundu lissu aliumizwa na jiwe sio?
Naona unaongea kwa machungu baada ya kuachwa MJANE.Hivi we mke wa Mbowe una hakika Mbowe aliumizwa kuliko mtu yeyote kwa ushahidi upi?
Au Mbowe ana kipi Cha kuumizwa kuliko mtu yeyote?
Au hiyo kukkosa wabunge?.
MSIMCHAFUE MH.MBOWE
Wewe mume wako kashatangulia mbele ya haki.Ha ha ha ngoja waje wakeze.
Moja kwa mia Mbowe huwa natulia kwa kumsikiliza sio yule mbeligiji roporopo.
Magu hakuwa na kawaida ya kumuogopa mtu ata kipindi cha kampeni hakuwa mtu wa kuogopa, nakumbuka 2015 akiwa kwenye kampeni aliwah sema kuwa "kuna tajiri kajenga sehemu ambayo inatakiwa lipite bomba la maji huko kimara, alafu wenzie wote wameondoka ila yeye kaenda Mahakamani, Mahakama haitaki kuamua inapiga karenda! Sasa subiri niwe Rais!" Huyu ndo alikuwa MaguMwendazake alinyenyekea-nyenyekea kipindi cha uteuzi pale na kampeni baada ya kukalia kiti hamkuheshimu mtu, hadi wanaCCM nao wakapigwa na butwaa wakajiuliza eh huyu ndio yule yule, Viongozi wakuu waastaafu wa nchi hawakuheshimiwa, Viongozi wenzake wa serikali, bunge na mahakama nao walibaki kusema ndio mzee, alishauri washauri wake ikitokea umetoa maoni tofauti basi cha moto utakiona, kila mtu aliweka mikono nyuma na kuinamisha kichwa chini, sasa utawalaumu CCM hapo, utawalaumu Viongozi wastaafu hapo, utawalaum washauri wake hapo, utawalaumu viongozi waandamizi hapo.
Hakuna wa kumlaumu maana kwa yule mzee ungejaribu kumpinga usingebaki salama, waulize wa kina Kinana na Makamba kilichowakuta ilibidi na waufyate na wao waje kuimba mapambio ya kumsifu tu.
Kwa hiyo Mr Mbowe utalaumu watu bure wakati wewe mwenyewe unajua aliyekuwa ameshika rungu alikuwa yukoje.
MY TAKE: BINADAMU ACHA KUPENDA SIFA, SIFA ZOTE PELEKA KWA MUNGU, NA HATA UKIPATA CHEO CHA KUONGOZA DUNIA HESHIMU MAWAZO YA WENZIO, UTAISHI VIZURI SANA MAISHA YAKO YOTE ILA USIJIFANYE WEWE MWAMBA, MWAMBA NI MUNGU TU.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mh Mmawia nimepunguza ukali mme wangu.Wewe mume wako kashatangulia mbele ya haki.
Punguza ukali kwa binadamu wenzako
Ukiona hivyo ujue tayari ashapiga kijiti.Leo unakubali kuwa tundu lissu aliumizwa na jiwe sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]hapana mchepuko wangu maadam upo wewe nafarijika.Naona unaongea kwa machungu baada ya kuachwa MJANE.