Kila mtu alitishwa na mwendazake, Mbowe usijifanye hujui hili

Kwa hiyo una ujumbe gani hapo?
 
Ha ha ha ngoja waje wakeze.

Moja kwa mia Mbowe huwa natulia kwa kumsikiliza sio yule mbeligiji roporopo.
Jifariji tu. Mkuki mdogo na mkuki mkubwa yote ni mikuki, yote inaleta maumivu makali.
 
Mbowe hakutishwa isipokuwa aliumizwa kuliko mtu yoyote na utawala dhalimu wa kishetani kabisa, sisi ndiyo wapumbavu haswa, kwanini tutishwe na mwanaume mmoja?
Kwa walio hai, Lissu kaumizwa zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…