Empedocles
Senior Member
- Sep 11, 2024
- 151
- 192
Umeamua kulielimisha jukwaa kwa mada ya aura lkn hujaeleweka.Hata mimi nilijua kuna udadavuzi wa kina ili nijifunze tokea nilipoishia.Hata karama ya kufunza wengine ni aura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kinaitwa kiroho, ni uwongo wa kipuuzi.kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu.
View attachment 3245607
✍️ Kupitia mbinu rahisi na mazoezi, unaweza jifunze kufahamu zaidi aura zako na za watu wengine.
✍️ Kwahiyo kadri unapopata mwamko wako wa kiroho basi utauona huu ulimwengu ni mpya kwako
✍️Kila siku utaweza kugundua, kuelewa, na kujihusisha
kwa undani zaidi na sehemu fulani ya maisha yako ambayo hukuweza kuijua hapo kabla.
✍️Auras ni chemchemi ya kimwili, kihisia, kiakili, na afya kiroho.
✍️Maisha yetu na uhusiano huibuka nje ya mwingiliano kati ya aura zetu wenyewe na aura za wengine, na nje ya mwingiliano kati ya auras zetu wenyewe na nguvu tofauti za kiroho kutoka ulimwengu mwingine uliofichika.
Jiongeze, ukiona hivyo ujue anasubiri ku copy sehemu.Mkuu unakuwaga na mada nzuri ila zinaishiaga hewani
Ata kwetu wapo 😂😂😂Hakuna kitu kinaitwa kiroho, ni uwongo wa kipuuzi.
Sawa leta yakoJiongeze, ukiona hivyo ujue anasubiri ku copy sehemu.
Shida sion kama mnazifatilia mkuuMkuu unakuwaga na mada nzuri ila zinaishiaga hewani
Wengi sana, wanaamini eti kuna wachawi na mapepo, aibu sana karne hii kuamini ujinga kama huo.Ata kwetu wapo 😂😂😂
The Power of Subconscious mind by Joseph Murphy nadhani kinaweza husika hapa kutoa Nasaha vile vileSijaongelea dini Wala siasa mkuu sipo uku
Apa naongelea universe power 🙏🏽
Avatar na comment yako ni mbingu na aridhiHakuna kitu kinaitwa kiroho, ni uwongo wa kipuuzi.
Huyo kwenye picha anaitwa Dalai Lama, unajua ni nani?Avatar na comment yako ni mbingu na aridhi
Soma comment upyaHuyo kwenye picha anaitwa Dalai Lama, unajua ni nani?
Sihitaji kusoma komenti upya, huyo kwny avatar hahusiani na mambo ya kiroho.Soma comment upya
Mkuu Upo Serious ?? Yani hujui kama Dalai Lama ni kiongozi wa Kiroho??Sihitaji kusoma komenti upya, huyo kwny avatar hahusiani na mambo ya kiroho.
Tunazifuatilia saaana, wewe tupia vitu utaona tu engagement ya watuShida sion kama mnazifatilia mkuu
Utani tu mkuu usi mind.Sawa leta yako
Ongezea na harufu kuna watu wana harufu km wameoza umewahi kukutana nao?Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu.
Mi kiputo changu cha aura nilikioasua bahati mbayakila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu.