Kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu

Umeamua kulielimisha jukwaa kwa mada ya aura lkn hujaeleweka.Hata mimi nilijua kuna udadavuzi wa kina ili nijifunze tokea nilipoishia.Hata karama ya kufunza wengine ni aura
 
Hakuna kitu kinaitwa kiroho, ni uwongo wa kipuuzi.
 
Mi kiputo changu cha aura nilikioasua bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…