Kila Mtu ana Haki ya Kujieleza na Kutoa Maoni

Kila Mtu ana Haki ya Kujieleza na Kutoa Maoni

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Siku hizi Vifaa vyetu vya kielektroniki vimekuwa fursa kwetu kutoa maoni, kushiriki Mijadala na kutoa Hoja mbalimbali

Mitandao ina nafasi muhimu katika kuhakikisha Watu wanabadilishana Mawazo na kupaza sauti zao

Uhuru Wa Kujieleza na kutoa Maoni hulindwa na Katiba za Nchi nyingi Barani Afrika

Haki za Binadamu zinapoheshimiwa Mitandaoni, ushiriki mkubwa wa watu kwenye mambo mbalimbali huongezeka

Kwa kutazama hali ilivyo kwa Mataifa mbalimbali barani Afrika na duniani kote kwa ujumla, unadhani Uhuru wa Kujieleza unaheshimiwa?
 
Back
Top Bottom