Kila mtu anaomuomba Mungu kupata riziki. Je hizi kazi nazo wanaomba?

Kila mtu anaomuomba Mungu kupata riziki. Je hizi kazi nazo wanaomba?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nawaza kufungua biashara ya kuuza vifaa vya mazishi kama sanda, marashi, majeneza, gari za kubebea marehemu na n.k

Kwenye hii biashara nataka iwe na mzunguko sana na mauzo mengi.

Hapa nitakuwa naombaje kwa Mungu.
 
Nawaza kufungua biashara ya kuuza vifaa vya mazishi kama sanda,marashi,majeneza,gari za kubebea marehemu na n.k

Kwenye hii biashara nataka iwe na mzunguko sana na mauzo mengi.

Hapa nitakuwa naombaje kwa mungu.
Je na wanapiga nyapu?
 
Kazi ni kazi ilimradi mkono uingie kinywani ...... hata ukiamua kuuza mavi a.k.a kimba !
 
Biashara nzuri sana hio alafu ongezea na kukodisha gari ya mazishi
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Ukifanya kazi ya kuuza tools za mazishi halafu ukalalamika hakuna wateja na kuomba mungu upate wateja basi itakuwa kama unaonba watu wafe 😂😂Hii itakuwa kama kuchokoza jamii.

Well hakuna jipya chini ya jua . Wapo watu wanauza vifaa vya mazishi lakini wao hawauzi tu vifaa vya mazishi bali sherehe pia.
 
Hata usipoomba watakufa

Kwahiyo kama unaomba ,omba wafiwa waje kununua/kukodisha vifaa vya mazishi kwako
 
Nawaza kufungua biashara ya kuuza vifaa vya mazishi kama sanda, marashi, majeneza, gari za kubebea marehemu na n.k

Kwenye hii biashara nataka iwe na mzunguko sana na mauzo mengi.

Hapa nitakuwa naombaje kwa Mungu.
Ni muhimu usije ukafa mapema ukafaidisha engine wanaobaki faida zako
 
Ni muhimu usije ukafa mapema ukafaidisha engine wanaobaki faida zako
Kufa tuta kufa shida kama unafanya biashara unamuombaje mungu kwenye maombi yako.
 
Kwa biashara kama hiyo gari likipata ajali wakifa watu 20 sijui utashukuru au unahuzunika
 
  • Kicheko
Reactions: Fbn
Na wamiliki wa hospital sijui nao huwa wanaomba watu waumwe sana au vipi.
 
Biashara za kutengeneza madawa na pharmacy pia.
 
Back
Top Bottom