February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Hahaha yaan kuna mengine usemwa ilimradi tu kututoa kwenye mstari. Lakini yanakua hayana uhalisiaWanaume kazi mnayo mnapangiwa hata jinsi ya kuchart
Sasa mpaka emoji jamani mtu analalamikaHahaha yaan kuna mengine usemwa ilimradi tu kututoa kwenye mstari. Lakini yanakua hayana uhalisia
Oya vpAmsterdam!
Wtf?? Everyone is using emojis now.
Mwanzoni tulijua wanawake tu ndio wanatumia emojis[emoji3]
ila sasaivi sijui ni fasheni mimi nimepitwa? Au ni ushamba? Au ndio feminism movement[emoji36].
Inakera pale unakuta wanaume wanachati kwa emojis, iwe wao kwa wao au kwa mamanz..
Sasa demu atajuaje kama anachat na mwanaume?
Mwanaume unaanza 'Oya vp'
Maswala ya mambo mwachie Juma lokole na Ommy dimpoz[emoji23]
Kuna style za mwanaume kuchat bhana, huwezi kuchati 'mambo' mwanaumeWanaume kazi mnayo mnapangiwa hata jinsi ya kuchart
Hili lina uhalisiaHahaha yaan kuna mengine usemwa ilimradi tu kututoa kwenye mstari. Lakini yanakua hayana uhalisia
Kama kawa, ni gan?Oya vp
Vipi kuhusu wale wanaume unayemwambiaHili lina uhalisia
Dah [emoji1787][emoji1787] mwanaume unianzie eti oya vipiii woiiii sitakujibuKuna style za mwanaume kuchat bhana, huwezi kuchati 'mambo' mwanaume
ShemaleVipi kuhusu wale wanaume unayemwambia
"Oya vipi'
Yeye anajibu inshort
''Poa''
Hao unawaweka kundi gani mkuu ??
Umezoea kudate na walamba lipsDah [emoji1787][emoji1787] mwanaume unianzie eti oya vipiii woiiii sitakujibu
Ko pisi kali inakuvua jinsia yako?Tuna angalia na sehemu pakuipeleka hiyo "Oya vp" sio kila mtu utamwambia and Ofcoz kama n pisi kali lazima nianze na mambo
Hizo sio Zangu...nmekuta mjadala kwenye kahawa mababu wwnye busara wanasema.Oohooooo. Acha zako wew
[emoji848][emoji848][emoji848]Amsterdam!
Wtf?? Everyone is using emojis now.
Mwanzoni tulijua wanawake tu ndio wanatumia emojis[emoji3]
ila sasaivi sijui ni fasheni mimi nimepitwa? Au ni ushamba? Au ndio feminism movement[emoji36].
Inakera pale unakuta wanaume wanachati kwa emojis, iwe wao kwa wao au kwa mamanz..
Sasa demu atajuaje kama anachat na mwanaume?
Mwanaume unaanza 'Oya vp'
Maswala ya mambo mwachie Juma lokole na Ommy dimpoz[emoji23]
Duh we jamaa utakuwa na shida mahali sio bureKo pisi kali inakuvua jinsia yako?