Kila mtu anatumia emoji sasa!

Kila mtu anatumia emoji sasa!

February Makamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
2,151
Reaction score
2,983
Amsterdam!

Everyone is using emojis now.

Mwanzoni tulijua wanawake tu ndio wanatumia emojis[emoji3]
ila sasaivi sijui ni fasheni mimi nimepitwa? Au ni ushamba? Au ndio feminism movement[emoji36].

Inakera pale unakuta wanaume wanachati kwa emojis, iwe wao kwa wao au kwa mamanz..
Sasa demu atajuaje kama anachat na mwanaume?

Mwanaume unaanza 'Oya vp'
Maswala ya mambo mwachie Juma lokole na Ommy dimpoz[emoji23]
 
Amsterdam!
Wtf?? Everyone is using emojis now.

Oya vp
 
Tuna angalia na sehemu pakuipeleka hiyo "Oya vp" sio kila mtu utamwambia and Ofcoz kama n pisi kali lazima nianze na mambo
 
Amsterdam!
Wtf?? Everyone is using emojis now.

Mwanzoni tulijua wanawake tu ndio wanatumia emojis[emoji3]
ila sasaivi sijui ni fasheni mimi nimepitwa? Au ni ushamba? Au ndio feminism movement[emoji36].

Inakera pale unakuta wanaume wanachati kwa emojis, iwe wao kwa wao au kwa mamanz..
Sasa demu atajuaje kama anachat na mwanaume?

Mwanaume unaanza 'Oya vp'
Maswala ya mambo mwachie Juma lokole na Ommy dimpoz[emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom