Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Sawa,stress za maisha zinakusumbuaUtakuwa umeshaondoka bila wewe kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,stress za maisha zinakusumbuaUtakuwa umeshaondoka bila wewe kujua
Mbona na wewe unetumia emoji kikao?Amsterdam!
Wtf?? Everyone is using emojis now.
Mwanzoni tulijua wanawake tu ndio wanatumia emojis[emoji3]
ila sasaivi sijui ni fasheni mimi nimepitwa? Au ni ushamba? Au ndio feminism movement[emoji36].
Inakera pale unakuta wanaume wanachati kwa emojis, iwe wao kwa wao au kwa mamanz..
Sasa demu atajuaje kama anachat na mwanaume?
Mwanaume unaanza 'Oya vp'
Maswala ya mambo mwachie Juma lokole na Ommy dimpoz[emoji23]
Huyo kachelewa au umri umesogea kidogoWanaume kazi mnayo mnapangiwa hata jinsi ya kuchart
Nimeanza kutumia emoj toka zinatoka,emoji ni utambulisho wa hisia zako kuelekea mazungumzo yenu haina cha kike wa kiume.Emoji's natumia sana tu, sioni kama inaondoa uanaume wangu.
Labda hizi emoji zinabadili jinsia...😂😂Wanaume kazi mnayo mnapangiwa hata jinsi ya kuchart
Emoji tushatoka huko sasahivi tupo kwenye stickers.Amsterdam!
Wtf?? Everyone is using emojis now.
Mwanzoni tulijua wanawake tu ndio wanatumia emojis[emoji3]
ila sasaivi sijui ni fasheni mimi nimepitwa? Au ni ushamba? Au ndio feminism movement[emoji36].
Inakera pale unakuta wanaume wanachati kwa emojis, iwe wao kwa wao au kwa mamanz..
Sasa demu atajuaje kama anachat na mwanaume?
Mwanaume unaanza 'Oya vp'
Maswala ya mambo mwachie Juma lokole na Ommy dimpoz[emoji23]
Man communicate logic....woman communicate emotionsNimeanza kutumia emoj toka zinatoka,emoji ni utambulisho wa hisia zako kuelekea mazungumzo yenu haina cha kike wa kiume.
Ha ha eti Ipinda [emoji3][emoji3]Aliyeanzisha emoji hata hakuwa ameweka masharti haya.
Ila kutana na mbongo wa Ipinda hata simu hajui kuitumia ila anampangia mwanaume mwenzake matumizi ya simu.[emoji125]