Kila mtu anatumia emoji sasa!

Kila mtu anatumia emoji sasa!

Amsterdam!
Wtf?? Everyone is using emojis now.

Mwanzoni tulijua wanawake tu ndio wanatumia emojis[emoji3]
ila sasaivi sijui ni fasheni mimi nimepitwa? Au ni ushamba? Au ndio feminism movement[emoji36].

Inakera pale unakuta wanaume wanachati kwa emojis, iwe wao kwa wao au kwa mamanz..
Sasa demu atajuaje kama anachat na mwanaume?

Mwanaume unaanza 'Oya vp'
Maswala ya mambo mwachie Juma lokole na Ommy dimpoz[emoji23]
Mbona na wewe unetumia emoji kikao?
 
Emoji tushatoka huko sasahivi tupo kwenye stickers.

#MaendeleoHayanaChama
 
Aliyeanzisha emoji hata hakuwa ameweka masharti haya.

Ila kutana na mbongo wa Ipinda hata simu hajui kuitumia ila anampangia mwanaume mwenzake matumizi ya simu.🏃
 
Nimeanza kutumia emoj toka zinatoka,emoji ni utambulisho wa hisia zako kuelekea mazungumzo yenu haina cha kike wa kiume.
Man communicate logic....woman communicate emotions

Mwanaume huwasiliana kwa logic
Mwanamke huwasiliana kwa hisia
 
Back
Top Bottom