Kila mtu anatumia emoji sasa!

Mbona na wewe unetumia emoji kikao?
 
Emoji's natumia sana tu, sioni kama inaondoa uanaume wangu.
Nimeanza kutumia emoj toka zinatoka,emoji ni utambulisho wa hisia zako kuelekea mazungumzo yenu haina cha kike wa kiume.
 
Emoji tushatoka huko sasahivi tupo kwenye stickers.

#MaendeleoHayanaChama
 
Aliyeanzisha emoji hata hakuwa ameweka masharti haya.

Ila kutana na mbongo wa Ipinda hata simu hajui kuitumia ila anampangia mwanaume mwenzake matumizi ya simu.πŸƒ
 
Nimeanza kutumia emoj toka zinatoka,emoji ni utambulisho wa hisia zako kuelekea mazungumzo yenu haina cha kike wa kiume.
Man communicate logic....woman communicate emotions

Mwanaume huwasiliana kwa logic
Mwanamke huwasiliana kwa hisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…