Kila mtu anatumia emoji sasa!

Kila mtu anatumia emoji sasa!

Amsterdam!
Wtf?? Everyone is using emojis now.

Mwanzoni tulijua wanawake tu ndio wanatumia emojis[emoji3]
ila sasaivi sijui ni fasheni mimi nimepitwa? Au ni ushamba? Au ndio feminism movement[emoji36].

Inakera pale unakuta wanaume wanachati kwa emojis, iwe wao kwa wao au kwa mamanz..
Sasa demu atajuaje kama anachat na mwanaume?

Mwanaume unaanza 'Oya vp'
Maswala ya mambo mwachie Juma lokole na Ommy dimpoz[emoji23]
Unalalamika kuhusu emoji, na kwenye andiko lako umejaza emoji. Wewe mzima kweli?
 
Amsterdam!
Wtf?? Everyone is using emojis now.

Mwanzoni tulijua wanawake tu ndio wanatumia emojis[emoji3]
ila sasaivi sijui ni fasheni mimi nimepitwa? Au ni ushamba? Au ndio feminism movement[emoji36].

Inakera pale unakuta wanaume wanachati kwa emojis, iwe wao kwa wao au kwa mamanz..
Sasa demu atajuaje kama anachat na mwanaume?

Mwanaume unaanza 'Oya vp'
Maswala ya mambo mwachie Juma lokole na Ommy dimpoz[emoji23]
Kwanza emoj mi nini? Tuanzie hapa
 
Huyu February Makamba anapigo za kikunguru mweusi emoji is for everybody na kutuma mambo kwa demu ni sawa japo sometime baada ya mazoea ni oyyy vp, oya wewe
 
Back
Top Bottom