Kila mtu apambane na Hali yake kaitunga Nani?

Kila mtu apambane na Hali yake kaitunga Nani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hii kauli kila nikiifikiria nacheka sana.inanisaidia pale ninapoamua kushit vitu fulani fulani mfano demu kaniomba hela namchana live kabisa hata simwogopi kwamba pambana na hali yako.sasa swali langu ni nani haswa muanzilishi au muasisi wa hii sentensi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_15460854581267356.jpeg
FB_IMG_15460860660454793.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu msemo unatumika Arusha toka 2014 ukawa maarufu sana mwaka jana labda baada ya huyo Young killer kuanza kuutumia!
 
Hii kauli kila nikiifikiria nacheka sana.inanisaidia pale ninapoamua kushit vitu fulani fulani mfano demu kaniomba hela namchana live kabisa hata simwogopi kwamba pambana na hali yako.sasa swali langu ni nani haswa muanzilishi au muasisi wa hii sentensi

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuri alizungumza haya maneno katika moja ya speech zake za mwanzo kabisa wakati anaanza uraisi miaka ya 2016......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu vingine vinashangaza sana,sasa suala kama hili nidanganye ili iweje,mtu unanufaika nini labda ukidanganya!

Huo msemo unatumika siku nyingi sana Arusha!nyie kutokuusikia mapema haimaniishi ulikua hautumiki
Acha uongo, huu msemo aliutamka magufuri baada ya watu kusema hali ya maisha inakuwa ngumu, akasema kila mtu apambane na hali yake.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom