ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hii kauli kila nikiifikiria nacheka sana.inanisaidia pale ninapoamua kushit vitu fulani fulani mfano demu kaniomba hela namchana live kabisa hata simwogopi kwamba pambana na hali yako.sasa swali langu ni nani haswa muanzilishi au muasisi wa hii sentensi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app