Kila mtu ni mchambuzi wa soka

Kila mtu ni mchambuzi wa soka

Hata mashabuki wa nje ya nchi wako hivyo. Ni tabia ya binadamu Karibu katika kila nyanja
 
Mpira ni mchezo wa wazi kila mtu anaona na anaweza kutoa maoni yake.

Kuna wale mashabiki wanatoa maoni yao kwenye media. Mf, George Job na mwngine.

Kuna wale mashababiki wanaotoa maoni wakijitahidi kutumia maneno ya maalumu kiingereza ili kujitofautisha wengine. Mf, somebody Salamba

Kuna wale kiasi fulani wanachambua na unaweza kuona mantiki. Mf, Mbwaduke na Ally Mayai
 
Sijui itakuwaje miaka ijayo maana hii leo kila mtanzania anajua high pressing, low block, back three na mengine yote. Ifikie wakati pundits watoshe tubaki mashabiki.
Na ukikuta wanachambua Kwa kuweka kiingereza kidogo ndo utaumia kichwa kabisa. Wale wengi wao watakuwa walipitia form two E. Mara utasikia hawaku-defence vizuri😂
 
Back
Top Bottom