Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Ndo nini hii?Double pivot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nini hii?Double pivot
Mdau wa michezo kama wewe mpk leo hujang’amua maana ya hilo neno?Ndo nini hii?
Wasafi pale hadi Babalevo anachambua sokaHigh line
Utafrahi sana ukimsikiliza Mchambuzi Hans Rafael Mwombeki[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16] na muda huo hicho kiingereza anachokikomalia hawezi hata kukiundia sentesi ya maneno matatu!Wakishajua haya
Half space
Half chances
High pressing
Low block
False 9
Created chances
Box 2 box
Hapo anaonekana bonge la chambuzi , utasikia sijui inaitwaje kwa Kiswahili [emoji115]
Hii jukwaa la arsenal ni wimbo kila komentInverted midfielder 😅
Kuna hii naisikiaga semi volleyAndrea Pirlo kwa sasa Joginho
MikimbioSijui itakuwaje miaka ijayo maana hii leo kila mtanzania anajua high pressing, low block, back three na mengine yote. Ifikie wakati pundits watoshe tubaki mashabiki.
😃Wimbo wa timuHii jukwaa la arsenal ni wimbo kila koment