Inamaanisha kwamba usanii Tanzania ni wa kiwango cha chini sana.Katika miaka ya hivi karibuni watanzania walio wengi wanaonekana kuelemea upande wa sanaa katika kila kitu.Sanaa ipendwayo zaidi siyo ile ya uchongaji vinyago na uchoraji vibonzo ,La ! bali ni kuimba na kucheza muziki na kubwatuka kwenye maigizo. Fedha nyingi za masikini na matajiri zinaishia huko.Na muda mwingi wa kufanya kazi unatumika kuangalia mambo hayo.
Hata mimi nilwahi kutumia senti zangu za kwendea shule niingie kwenye ukumbi kumuona Hemedi Maneti.Hata shule siku hiyo ya mwanzo wa muhula sikufika. Nilichokiona kikifanyika kule ndani mpaka leo naijutia siku ile.Na mpaka leo nikiangalia mabadiliko ya kisanii Tanzania na wasanii wenyewe sijapata jawabu. Je, Tanzania imeendelea au imerudi nyuma. Na je huko mbele ni furaha au ni balaa.
Inaonekana katika kufikiri unachemsha bongo sana na nahisi umefuzu masomo ya biashara, ila sijui kama una uoni wa mbali katika kufikiri kwako.Zalisha bidhaa kulingana na mahitaji ya soko!
Mfumo wa elimu yetu umezalisha watu ambao tofauti yao na misukule ni ndogo sana na hao wako kama 80% ya population kwa sasa!
Hivyo bidhaa wanazotaka ndo kama hizo za akina Diamond au vichekesho vya akina Joti na Mpoki!
Akina Diamond na akina Joti wataendelea kuwa matajiri kwa kuwa bidhaa na huduma zao zina soko la uhakika!
Kama unabisha jaribu kufungua online TV eti unafundisha hisabati uone subscribers utakaopata na ulinganishe na followers wa akina Diamond na Joti.
Wanataka kusikia nyimbo kama , Mama tetema! Nipake mate, nikuchane nyembe , niteleze kama nyoka pangoni mama weeeee! Hizo ndo products zenye soko hapa Tanzania!
Wameona inalipa kuliko ujasiriamaliKatika miaka ya hivi karibuni watanzania walio wengi wanaonekana kuelemea upande wa sanaa katika kila kitu.Sanaa ipendwayo zaidi siyo ile ya uchongaji vinyago na uchoraji vibonzo ,La ! bali ni kuimba na kucheza muziki na kubwatuka kwenye maigizo. Fedha nyingi za masikini na matajiri zinaishia huko.Na muda mwingi wa kufanya kazi unatumika kuangalia mambo hayo.