Kila mwaka Azam huwa anatolewa kimataifa kabla Simba haijaanza mechi zake

Wenzetu wana management ya hela, wana team inayojua waipeleke wapi na wawekeze wapi. Yale matokeo wanayopata si bahati mbaya

Halaf kuna azam, pesa wanayo ila hawajui wafanye nini, wanahitaji team mpya mpaka kocha mpya
Kweli tupu
 
Yanga kapangiwa rojo rojo hata nyie mngecheza na Vitali'O mngepita
Ficha ujinga wako unawaaibisha mbumbumbu wenzio, msimu uliopita pia alipangiwa rojo rojo mbona alifika robo fainali na kutolewa kwa mipango dhidi ya timu Bora Mamelodi? Vipi hatua ya makundi alikopenya kibabe alikutana na timu za aina Gani, unamzungumzia belouzdad ambae Yuko namba 5 kwa ubora Africa lakini alikalishwa, ni vizuri zaidi ukaileta timu yako ambayo sio rojo rojo uipambanishe na yanga maana akili zenu mshamkabidhi mangungu!
 
kama umezaliwa 2007 kushuka chini hauwezi kujiita shabiki wa azam.
Wewe ni utopolo au simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…