Nilivyoiangalia mechi ya kwanza ya Azam na Yanga Kwa jicho la kiufundi unaona kabisa pale hamna timu, hakuna kocha ni uji mtupu then mgt ya hovyo kabisa...Kwa TZ wataenda ila nje ya hapo watasubiri sana, mgt ya kiswahili Kwa Sasa hutoboi kwenye football...siku hizi football mgt Inahitaji watu smart kweli kweli, timu kubwa tu kama Man UTD tena timu tajiri duniani lakini si unaona mgt Yao ilipowafikisha, si suala la pesa bali rasilimali watu tena watu sahihi.
Siku hizi kocha ni uwanjani na mazoezini ila behind the scene Kuna wanaume wanasugua mbongo zao Ili kuhakikisha timu inakwenda mbele, kitu ambacho TZ hakipo, usidhani Al ahly anafanikiwa tu ohoo, Leo hii ahly akiamua tu kumfukuza kocha anamfukuza hata katikati ya msimu na kombe la CAF anabeba, hujiulizi why, There are people out there huwezi kuwaona Kwa macho, usione klabu mfano wa Madrid zinanyanyua kwapa tu ukajua ni rahisi tu hahh.