Kila mwana Yanga SC unayekutana nae baada ya Kipigo anasema Inshaallah hivi ina maana USMA wao hii Inshaallah haiwahusu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wanafiki wakubwa nyie yaani leo baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USMA ndiyo mnajifanya Kumjua Allah ( Mwenyezi Mungu ) mbona kabla ya Mechi yenu neno hili mlikuwa hamlitaji mara kwa mara?

Kudadadeki imeshaisha hiyo.
 
Watakwambia hata tusipo chukua kombe medali tutavaaa na msimu ujao kulalekii wanatoleea hatua za makundi mapema tu hata shirikisho wanatoleea mapema haya mashindano bana kama Yana uchawi ukifanikiwa kuingia fainali mwaka huuu tegemea miaka 20 huko ndo uje uingie Tena fainali.
 
Dua la kuku...
 
Umeongea kwa hasira Sana mkuu ni kweli medali watavaa,relax huwezi jua kwa hayo uliozungumza
 
Nashangaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]afu kuna wananchi nguli siwaoni tangu jana? Kwani wako wapi.!?
 
Back
Top Bottom