GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Watakwambia hata tusipo chukua kombe medali tutavaaa na msimu ujao kulalekii wanatoleea hatua za makundi mapema tu hata shirikisho wanatoleea mapema haya mashindano bana kama Yana uchawi ukifanikiwa kuingia fainali mwaka huuu tegemea miaka 20 huko ndo uje uingie Tena fainali.Wanafiki wakubwa nyie yaani leo baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USMA ndiyo mnajifanya Kumjua Allah ( Mwenyezi Mungu ) mbona kabla ya Mechi yenu neno hili mlikuwa hamlitaji mara kwa mara?
Kudadadeki imeshaisha hiyo.
Dua la kuku...Watakwambia hata tusipo chukua kombe medali tutavaaa na msimu ujao kulalekii wanatoleea hatua za makundi mapema tu hata shirikisho wanatoleea mapema haya mashindano bana kama Yana uchawi ukifanikiwa kuingia fainali mwaka huuu tegemea miaka 20 huko ndo uje uingie Tena fainali.
Umeongea kwa hasira Sana mkuu ni kweli medali watavaa,relax huwezi jua kwa hayo uliozungumzaWatakwambia hata tusipo chukua kombe medali tutavaaa na msimu ujao kulalekii wanatoleea hatua za makundi mapema tu hata shirikisho wanatoleea mapema haya mashindano bana kama Yana uchawi ukifanikiwa kuingia fainali mwaka huuu tegemea miaka 20 huko ndo uje uingie Tena fainali.
SawaaaaaDua la kuku...
Ila na ukweli ukiwemo.Umeongea kwa hasira Sana mkuu ni kweli medali watavaa,relax huwezi jua kwa hayo uliozungumza